Uongozi Unapenda kuwakaribisha vijana mbali mbali wanaohitaji kushiriki katika kujifunza sanaa,Pia kuleta changamoto zao za sanaa hapa matimbaarts group. Kama njia mojawapo ya kuendeleza sanaa yenye manufaa na maslahi ya taifa letu kwa ujumla.
karibuni wote



No comments:
Post a Comment