Wajue Matimba Kwa ufupi
Kundi la sanaa linalofahamika kwa jina la MATIMBA ARTS lenye maskani yake Kinondoni jijini Dar es salaam.kundi linalohusika na sanaa mbalimbali zifuatazo ngoma za asili,sarakasi na maigizo.
kundi hilo la sanaa linalo milikiwa na kampuni almaarufu kama MATIMBA INTERNATIONAL ARTS LIMITED.(MIA LTD).
Kutokana na uzoefu wao katika kufanya kazi sehemu tofauti tofauti
imepelekea kampuni hiyo kuwekeza zaidi katika kufanya burudani za sanaa kwa njia ya sarakasi na ngoma za asili,Hilo ndo kundi la Matimba arts.