SHAGGY ALIVYOPOKELEWA KIASILI ZAIDI ZANZIBAR
Mwanamuziki wa kimataifa Shaggy yuko visiwani Zanzibar ambako aliwasili jana na kulakiwa na wenyeji wake kiasisli zadi kwa kuvishwa taji lililotengenezwa kiasili na kufikia Zanzibar Resort ambako nako alikalishwa 'jamvini' Usiku wa kuamkia leo amefanya onesho Ziff na kukonga nyoyo za mashabiki waliofurika.
Shagy akiweka saini kitabu cha wageni huku akiwa ameketi 'chamvini'
Shagy akifurahia jambo na mwenyeji wake huku akijiandaa kunya dafu aliloshika mkononi
PICHA: IMELDA MTEMA-ZANZIBAR/GPL






No comments:
Post a Comment